EQUIT YAUNGANISHA ZANZIBAR NA WAWEKEZAJI

                           :::::::: Zanzibar imechukua hatua madhubuti katika kujenga mazingira bora ya uwekezaji wa kimataifa kupitia uchumi wa buluu, huku Equity Bank Tanzania ikijitokeza kama daraja muhimu kati ya visiwa hivyo na jumuiya ya wawekezaji wa ndani na nje ya nchi. Hii ni sehemu…

Read More

Chadema Mbeya yavunja kambi ya kumsaka Mdude

Mbeya. Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimevunja rasmi kambi iliyokuwa imewekwa kushinikiza kupatikana kwa kada wao, Mdude Nyagali, huku kikieleza msimamo wao katika ushiriki wa uchaguzi mkuu na uzinduzi wa kampeni ya ‘No reforms, no election’ mkoani Mbeya. Pia kimewataka wananchi na wafuasi wao kupuuza taarifa za baadhi ya waliojivua uanachama wa chama hicho,…

Read More

Wagombea 18 kuchuana urais CWT, 19 umakamu

Dar es Salaam. Jumla ya wagombea 37 wanatarajiwa kushindania nafasi za Rais na Makamu wa Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Mei 28 na 29, 2025, jijini Dodoma. Kati ya wagombea waliojitokeza, 18 wanawania nafasi ya urais huku 19 wakigombea nafasi ya Makamu wa Rais. Makamu wa Rais wa sasa,…

Read More

Makalla amkingia kifua Shigongo ujenzi wa barabara

Mwanza. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amewataka wakazi wa Wilaya ya Buchosa kutomhukumu Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo kutokana na ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami kutoka Sengerema hadi Nyehunge kutoanza hadi sasa. Makalla amesema Shigongo hana kosa kwa sababu yeye wakati akiwa Mkuu wa Mkoa…

Read More