CBE kujenga maabara za kisasa za viwango

Na Mwandishi Wetu CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kinatarajia kujenga maabara za kisasa zitakazoidhinishwa na mashirika ya kimataifa ya viwango ambazo zitakuwa kitovu cha mafunzo, utafiti, na ushauri wa vipimo katika Afrika Mashariki na Kati. Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam  na Mkuu wa chuo hicho, Profesa Edda Lwoga wakati akizungumza na waandishi…

Read More

Rais Nandi-Ndaitwah awafunda wanawake, awapa mbinu za kiuongozi

Dar es Salaam. Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah amesema majaribu na kukatishwa tamaa ni sehemu ya masahibu yanayomkumba mwanamke yeyote anayepata nafasi ya kuwa kiongozi. Jambo baya zaidi, amesema majaribu hayo hayatoki kwa wanaume pekee, bali jamii kwa ujumla, wakiwemo wanawake wenzake. Amelisisitiza hilo, akihusisha na maendeleo ya teknolojia, akisema mitandao ya kijamii inatumika zaidi…

Read More

CWT KUCHAGUANA MEI 29

   Suleiman Mathew Ikomba, Makamu wa rais wa CWT ambaye anagombea U rais wa chama hicho kwa sasa Joseph Masolwa Misalaba, Kaimu katibu mkuu na Mgombea wa ukatibu mkuu Nashon Amos Kidudu, Kaimu mweka hazina na mgombea wa nafasi hiyo tena …………  Na. Mwandishi wetu, Chama cha walimu Tanzania (CWT) kimetangaza kufanyika kwa mkutano mkuu…

Read More

Misaada ya kuokoa maisha ya UN inaruhusiwa kuteleza ndani ya Gaza kama inavyohitaji kuongezeka-maswala ya ulimwengu

Alisisitiza kwamba msaada lazima uwasilishwe haraka na moja kwa moja kwa wale wanaohitaji sana. Aliwaambia waandishi wa habari huko New York kuwa watu wa UN wa kibinadamu walikuwa wakipeleka unga, dawa, vifaa vya lishe na vitu vingine vya msingi kupitia upande wa Palestina wa kuvuka kwa Kerem Shalom – siku moja baada ya kufanikiwa kuleta…

Read More

ACT-Wazalendo Shinyanga mguu sawa uchaguzi mkuu

Shinyanga. Ofisa wa oganizesheni mafunzo na uchaguzi kutoka Chama cha ACT Wazalendo Taifa,  Risasi Semasaba amesema kuwa katika Mkoa wa Shinyanga kuna wanachama wanane waliochukua fomu za kutia nia ya ubunge na jimbo la Shinyanga mjini limekuwa na watia nia wengi. Akizungumza leo Mei 21, 2025 katika hafla fupi ya kufungua uchukuaji fomu za kutia…

Read More