Watanzania kushirikishwa mageuzi ya teknolojia

Dar es Salaam. Ili kuendana na mageuzi ya teknolojia hasa ya vifaa vya kisasa vya kielektroniki wadau sekta hiyo wamewahakikishia Watanzania kwa kutoa bidhaa salama, zenye ubora wa hali ya juu na ubunifu wa kisasa. Katika kuhakikisha hilo kampuni ya utengenezaji wa vifaa vya umeme wa majumbani ya Hisense imezindua rasmi luninga ya kisasa yenye…

Read More

Dau la Aziz KI laipa jeuri Yanga SC

STEPHANE Aziz KI ameipa jeuri kubwa Yanga na hiyo ni baada ya dili la kujiunga na Wydad Athletic Club ya Morocco kuhusisha kiasi kikubwa cha fedha ambacho kimeingia Jangwani. Aziz KI ambaye aliitumikia Yanga kwa misimu mitatu mfululizo anakwenda Wydad akianzia katika mashindano ya Klabu Bingwa Dunia ambapo itacheza dhidi ya Manchester City ya England,…

Read More

Aliyekiri kumuua mkewe, kunyongwa hadi kufa

Arusha. Mahakama ya Rufani imebariki adhabu ya kunyongwa hadi kufa aliyopewa Rajabu Juma, baada ya kutupilia mbali rufaa aliyowasilisha kupinga hukumu hiyo, kufuatia kutiwa hatiani kwa kosa la mauaji ya mkewe, Rehema Petro. Miongoni mwa sababu zilizofanya Mahakama ya Rufani kutupilia mbali rufaa ya Rajabu Juma ni kujiridhisha na maelezo ya onyo aliyoyatoa, ambapo alikiri…

Read More

Simba yatembea na rekodi 7

SIMBA inapiga hesabu kuhakikisha inapindua matokeo ya kufungwa mabao 2-0 ugenini katika fainali ya mkondo wa kwanza Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane ili kubeba ubingwa Jumapili, wiki hii kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Wakati hali ikiwa hivyo, kuna rekodi inaifukuzia ambayo inaonekana ni pasua kichwa. Katika mashindano yanayosimamiwa na Shirikisho…

Read More

DCEA Yateketeza Ekari 157 za Bangi Kondoa

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kondoa pamoja na wananchi wa Kata ya Haubi, wamefanikisha operesheni maalum ya kutokomeza kilimo haramu cha bangi katika maeneo ya Hifadhi ya Milima ya Haubi, wilayani Kondoa, mkoani Dodoma. Akizungumza kwa niaba ya Kamishna…

Read More

Kitakachomtokea Pacome Yanga baada ya Aziz KI kuondoka

KUONDOKA kwa Stephane Azizi Ki Yanga kumeibua jambo kwa staa wa timu hiyo, Pacome Zouzoua. Azizi Ki ameuzwa kwenda Wydad Casablanca ya Morocco na tayari ameshaondoka nchini kujiunga na klabu hiyo inayojiandaa na Kombe la Dunia la Klabu. Kocha wa Asec Mimosas, Julie Chevalier, ametabiri kitakachomtokea Pacome ndani ya Yanga baada ya kuondoka kwa Azizi…

Read More

Haya ndio maeneo makuu yaliyoimarisha elimu Zanzibar

Unguja. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali imetaja mafanikio kadhaa ya kujivunia kutokana na mabadiliko makubwa yaliyopatikana katika sekta ya elimu, likiwemo ongezeko kubwa la bajeti. Bajeti ya sekta hiyo imeongezeka kutoka Sh265.5 bilioni mwaka 2021/2022 hadi kufikia Sh830 bilioni kwa mwaka 2024/2025, sawa na ongezeko la asilimia 212.6. Ongezeko la bajeti ya sekta…

Read More