Bashe: Ni miaka minne ya mapinduzi kwenye kilimo
Dodoma. Wizara ya Kilimo imetaja mafanikio yaliyopatikana katika sekta hiyo kwa kipindi cha miaka minne iliyopita, yakichangiwa na uwekezaji wa umma, upatikanaji wa pembejeo, huduma bora za utafiti na ugani, pamoja na ongezeko la uzalishaji. Akiwasilisha bajeti ya Sh1.243 trilioni kwa mwaka wa fedha wa 2025/26 bungeni jijini Dodoma leo Jumatano, Mei 21, 2025, Waziri…