Rais Samia ataka ‘magwajima’ waachwe nje CCM

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Has-san amewataka wajumbe wa vikao vya uchujaji kwenda kufanya uchujaji wa haki na uadilifu wakati wa mchakato wa kupata wagombea huku akiagiza wale “magwaji-ma” waachwe nje. Rais Samia amebainisha hayo leo Mei 30, 2025 jijini Dodoma wakati akihitimisha mkutano mkuu maalumu wa CCM…

Read More

Aliyepotea wiki moja akutwa ameuawa, Polisi yatoa kauli

Tanga. Mkazi wa Mtaa wa Pande Malembwe, jijini Tanga, Sarai Kagoro (30), ameuawa kwa kuchinjwa na mwili wake kukatwakatwa kisha kufukiwa shambani, baada ya kupotea kwa takribani wiki moja. Jeshi la Polisi mkoani Tanga linamshikilia mtu mmoja kwa tuhuma za kuhusika na mauaji hayo, huku wengine watatu wakiendelea kutafutwa. Mkazi wa Mtaa wa Pande Malembwe, jijini…

Read More

Samia: Tusigwajimanised chama chetu, Magwajima tuyaache nje

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka wajumbe wa chama hicho kuhakikisha mchujo wa wagombea unafanyika kwa haki na weledi ili kulinda hadhi ya chama, akisisitiza kuwa ni muhimu kuepuka kuwapitisha watu wasiostahili. Akihitimisha Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa…

Read More

Mtoto adaiwa kuua wazazi wake Moshi

Moshi. Wanandoa Godfrey Mota (60) na Blan-dina Ngowi (53), wakazi wa Msufuni, Msaranga, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wameuawa kikatili huku mtoto wao ambaye ametoweka, akishukiwa kuhusika. Inaelezwa kuwa kijana huyo, ambaye anadaiwa kuwa na tatizo la afya ya akili, mara kwa mara alikuwa akiwatishia wazazi wake na kuwatamkia maneno kwamba ipo siku atawaua. Inadaiwa…

Read More

Mapya yaibuka waliomgombania Mwijaku, mmoja atupwa lupango

Dar es Salaam. Mmoja kati ya wanafunzi watatu kutoka vyuo vikuu tofauti tofauti jijini Dar es Salaam, waliodaiwa kum-shambulia mwenzao wakimgombania msanii na mtangazaji wa vipindi vya redio, Burton Mwemba maarufu kama Mwijaku, ameswekwa mahabusu baada ya kukosa dhamana katika kesi ya jinai inayomkabili na wenzake hao. Mwanafunzi huyo Mary Gervas Matogo-lo (22), mwanafunzi wa…

Read More

Malima azindua mradi wa Alliance One wa nishati jua wa shilingi bilioni moja

Na Mwandishi Wetu,Morogoro Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima ameipongeza Kampuni ya Tumbaku ya Alliance One kwa kuwa ya kwanza nchini kutumia nishati safi ya jua kwenye uchakataji tumbaku kiwandani, pamoja na matumizi mengine kwenye ofisi za kampuni hiyo yenye makao makuu yake eneo la Kingolwira Mkoani Morogoro. Ameyasema hayo wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa mradi wa…

Read More

SAKATA LA WANAFUNZI KUMGOMBEA MWIJAKU LATUA KISUTU, WASOMEWA MASHTAKA NANE

  Na Karama Kenyunko Michuzi Tv  HATIMAE wanafunzi watatu wa kike kutoka vyuo vikuu mbalimbali Jijini Dar es Salaam wanaodaiwa kumdhalilisha mwenzao mitandaoni, wamefikishwa katika Mahakama  ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka nane, ikiwemo kula njama na kutishia kumuua mwenzao Magnificat Kimaro kwa kisu   Katika hati ya mashtaka iliyosomwa mahakamani hapo na wakili…

Read More