Luhemeja atoa wito utunzaji mazingira, kuchangamkia fursa

Dodoma. Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira, Cyprian Luhemeja amesema mazingira ni suala mtambuka, hivyo amewashauri mabalozi wa mazingira kutumia fursa zilizopo kupanua wigo wa kushiriki kuyatunza na kuchangamkia fursa zilizopo. Taarifa ya ofisi hiyo kwa umma imesema Luhemeja ameyasema hayo jana Jumanne, Mei 20, 2025 jijini Dodoma alipokutana na kufanya…

Read More

Fyatu mfyatuzi sasa kugombea urahis mwaka huu wa uchaguzi

Wapendwa mafyatu wangu. Leo, rasmi nafyatua kitu. Natangaza rasmi kuwa nitakuwa kwenye debe. Naazimia kuibadili kaya kwa kufanya yafuatayo: Mosi, nitabadili jina la kaya. Itaitwa Fyatuland na wananchi wake wataitwa mafyatu. Hivyo, kuanzia siku nitakapoapishwa kila kitu kitabeba jina langu. Sitakuwa wa kwanza kufanya hivi. Nenda kaulize kule Saudia. Imetokana na jina la fyatu Saudi…

Read More

Umuhimu wa mabadiliko madogo ya Katiba kabla ya uchaguzi mkuu

Katika mjadala wa kisiasa wa sasa nchini Tanzania, dhana ya “mabadiliko madogo ya Katiba,” imezua mjadala mkubwa, hasa baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuibua kauli mbiu ya No Reforms, No Election (NRNE). Katika kampeni hiyo, chama hicho kikuu cha upinzani nchini, bado kimeendelea kusisitiza kuwa kama Serikali haitakubali kufanya marekebisho ya msingi…

Read More

Equity Bank Yafungua Milango ya Uwekezaji Zanzibar

Zanzibar imechukua hatua madhubuti katika kujenga mazingira bora ya uwekezaji wa kimataifa kupitia uchumi wa buluu, huku Equity Bank Tanzania ikijitokeza kama daraja muhimu kati ya visiwa hivyo na jumuiya ya wawekezaji wa ndani na nje ya nchi. Hii ni sehemu ya jitihada za kuifanya Zanzibar kuwa kitovu cha biashara na maendeleo endelevu. Katika Jukwaa…

Read More