Watanzania Tuendelee Kumtunza Mdudu Nyuki – Global Publishers
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuendelea kumtunza na kumuhifadhi nyuki ili kuwa na Taifa lenye uhakika wa chakula na uchumi ulio imara kwa kuwa takribani asilimia 80 ya mimea ya chakula inayozalishwa duniani huchavushwa na nyuki. Pia, Waziri Mkuu amezindua mpango kabambe utakaoleta mageuzi makubwa ya sekta ya ufugaji nyuki nchini, unaojulikana kama Mpango…