Wauzaji vileo makazi ya watu watimuliwa, wapewa siku 17 kuhama
Mbeya. Uongozi wa Serikali ya Mtaa wa Kisunga, Kata ya Mabatini jijiji Mbeya umefanya operesheni maeneo yanayotajwa kuuzwa pombe haramu ya gongo na kutoa onyo kwa wauzaji wa vileo katika makazi ya watu kufunga biashara hizo. Hatua hiyo imefanyika kutokana na kukithiri matukio ya uharifu katika Mtaa wa Kisunga Kata ya Mabatini jijini hapa hali…