Mapya yaibuka wanasheria wa Kenya kuzuiwa Tanzania kumtetea Lissu
Dodoma. Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amesema mawakili kutoka nchini Kenya waliozuiwa kuingia nchini kumtetea Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu hawana leseni ya kufanya shughuli za uwakili Tanzania. Wakati Dk Ndumbaro akisema hayo, Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amesema kinachoonekana kwenye tukio hilo ni kwamba Serikali haikupewa…