Asukile atoa matumaini Tanzania Prisons

STAA wa zamani wa Tanzania Prisons, Benjamin Asukile amesema pamoja na presha iliyopo kukwepa kushuka daraja, lakini upo uwezekano wa kubaki salama Ligi Kuu kwa timu hiyo msimu ujao. Kwa sasa timu hiyo ipo nafasi ya 13 na pointi 30, imebakiwa na mechi mbili dhidi ya Yanga, Juni 18 mwaka huu (nyumbani) kisha kumalizia msimu…

Read More

Madeleka naye atimkia ACT – Wazalendo, aeleza mwelekeo

Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo-Bara, Isihaka Mchinjita amemtangaza Wakili Peter Madeleka kuwa mwanachama mpya aliyejiunga na chama hicho akitokea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Madeleka tayari amekabidhiwa kadi ya uanachama wa chama hicho pamoja na katiba ikiwa ni ishara ya kuwa mwanachama wa chama hicho. Tukio hilo limefanyika jijini…

Read More

Waziri Tax awajibu wabunge ajira JWTZ

Dodoma. Sakata la ajira ndani ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limechukua sura mpya baada ya Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Stergomena Tax kusema jeshi hilo, kwa mujibu wa Katiba: “Hupokea amri kutoka kwa Amiri Jeshi Mkuu na si vinginevyo.” Waziri Tax amesema hayo ikiwa ni takribani…

Read More

Wadukuzi wavamia mitandao taasisi za Serikali

Dar es Salaam. Wimbi la mashambulizi ya mitandaoni sasa limefikia taasisi muhimu za Serikali, baada ya wadukuzi kuteka akaunti rasmi ya YouTube ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Jeshi la Polisi Tanzania kwenye mtandao wa X (zamani Twitter) na kuweka taarifa potofu. Taasisi hizo kwa nyakati tofauti zimetoa taarifa kujitenga na taarifa potofu zilizochapishwa…

Read More

Mavitu ya Hasheem Thabeet gumzo BDL

UNAAMBIWA tayari Hasheem Thabeet, yule nyota wa kikapu wa kimataifa wa Tanzania anafanya vitu vyake katika michuano ya Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), lakini gumzo kubwa ni ubora anaouonyesha. Lakini, mbali na ubora wa staa huyo aliyewahi kukipiga katika ile Ligi ya Kikapu Marekani (NBA) ambako kuna mastaa kama LeBron James,…

Read More

MAFURIKO BWAWA LA NYUMBA YA MUNGU YAWAKUMBA NGORIKA

Na Mwandishi wetu, Simanjiro BAADHI ya wakazi wa Kata ya Ngorika wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wamekumbwa na mafuriko yaliyosababishwa na kufurika kwa bwawa la Nyumba ya Mungu. Diwani wa kata ya Ngorika Albert Msole amesema baadhi ya wakazi wa eneo hilo nyumba zao zimezungukwa na maji. Msole amesema baadhi ya wakazi wa kijiji cha Nyumba…

Read More