Kilio cha wabunge kuhusu Tanapa chasikika sasa kukusanya, kutumia fedha zake

Dodoma. Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka 2025/26 huku Serikali ikisema katika Sheria ya Fedha ya mwaka 2025 kutakuwa na mabadiliko yatakayowezesha  mashirika mawili kukukusanya na kutumia fedha (rentetion). Mashirika hayo ni Shirika la Hifadhi la Taifa (Tanapa) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), makusanyo yao  yalianza kwenda katika…

Read More

Serikali yafungua milango ya fursa kwa Diaspora

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amewakaribisha Watanzania waishio nje ya nchi (diaspora) kuja kuwekeza nchini katika sekta za kiuchumi na kijamii, huku akiwataka watangaze sifa njema ya Tanzania badala ya kuisema vibaya. Rais Samia amebainisha hayo leo Jumatatu, Mei 19, 2025 jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla ya uzinduzi wa toleo jipya…

Read More

‘Changamoto yetu ya kisheria ya kufungia fedha ni kujaribu uwezo wa mahakama kuangalia nguvu ya mtendaji’ – maswala ya ulimwengu

na Civicus Jumatatu, Mei 19, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Mei 19 (IPS) – Civicus anaongea na Eric Bjornlund, rais na Mkurugenzi Mtendaji wa Democracy International, juu ya athari za kufungia kwa misaada ya nje ya Amerika na changamoto zinazosababishwa za kisheria ambazo utawala wa Trump unakabili. Demokrasia International ni Shirika la Asasi ya…

Read More

Aliyekuwa DED Simanjiro kortini tuhuma za uhujumu uchumi

Simanjiro. Aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Samwel Warioba Gunza amefikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa kesi ya rushwa. Gunza amefikishwa mbele ya hakimu mwandamizi wa Mahakama ya wilaya ya Simanjiro, Onesmo Nicodemo na kusomewa shitaka na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru). Shauri hilo la uhujumu uchumi limesomwa…

Read More

Equity Group yapongezwa kwa kuwaleta pamoja wawekezaji

Dar es Salaam, 19 Mei 2025 – Equity Group, chini ya Mpango wa Afrika wa Urejeshaji na Uhimilivu (ARRP), inaongoza msafara wa kimataifa wa biashara na uwekezaji katika Afrika Mashariki, ukiaanzia nchini Tanzania (Dar es Salaam na Zanzibar) na kuendelea Uganda (Kampala). Msafara huu unalenga kuangazia fursa za kiuchumi na kukuza ushirikiano wa kikanda.  …

Read More

Rais wa Namibia kufanya ziara ya siku mbili Tanzania

Dar es Salaam. Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah anatarajia kuwasili nchini Tanzania kwa ziara ya siku mbili kuanzia kesho Mei 20 hadi 21, 2025, kufuatia mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan. Ziara hiyo itakuwa ya kwanza kwa Rais Nandi-Ndaitwah tangu aapishwe kuwa Rais wa Namibia Machi 21, mwaka huu, na inalenga kuimarisha uhusiano kati ya…

Read More

MAFANIKIO 10 YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

WIZARA ya Maliasili na Utalii imebainisha vipaumbele 10 ambavyo wizara na taasisi zake zitatekeleza kwa mwaka 2025/26. Akiwasilisha mpango wa mapato na matumizi kwa Wizara na taasisi zake kwa mwaka 2025/26, Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt.Pindi Chana amesema Wizara itatekeleza majukumu yake kwa kuzingatia maeneo ya vipaumbele 10. Amevitaja vipaumbele hivyo kuwa…

Read More