MAJALIWA: KAMILISHENI UCHUNGUZI WA WIZI WA VIFAA VYA HOSPTALI

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa mkoa wa Mwanza uhakikishe unakamilisha uchunguzi wa watumishi wa Hospitali ya wilaya ya Sengerema wanaodaiwa kuhusika na wizi wa vifaa hospitalini hapo ili watakaothibitika wachukuliwe hatua za kisheria. ”Watumishi mnatakiwa kuwahudumia wananchi kwa uaminifu na uadilifu mkubwa na Serikali haitomvumilia yeyote atakayethibitika kuhusika na…

Read More

WENYE VYETI FEKI VYA UANDISHI WA HABARI WAONYWA

Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Ndg. Tido Mhando, ametoa onyo kali kwa watu wanaokusudia kutumia vyeti bandia katika mchakato wa kuomba kuthibitishwa kama waandishi wa habari kupitia mfumo mpya wa usajili wa kidijitali. Akizungumza tarehe 19 Mei 2025 katika mkutano na Wahariri na Waandishi wa Habari uliofanyika…

Read More

Yao afanyiwa upasuaji Tunisia | Mwanaspoti

YANGA imefanya uamuzi mgumu wa kumpeleka beki wa kulia, Yao Kouassi kufanyiwa upasuaji kutokana na tatizo la muda mrefu alilonalo la goti lililomuweka nje ya uwanja. Yao alifanyiwa upasuaji wiki iliyopita wa goti la kushoto baada ya awali kupona jeraha la kifundo cha mguu na nyama za paja, lililomfanya akose mechi kadhaa za timu hiyo….

Read More

Waziri wa Mazingira wa Norway ateta na Waziri Masauni

  WAZIRI  wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mha. Hamad Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Andreas Bjelland Eriksen – Waziri wa Hali ya Hewa na Mazingira wa Norway. Mazungumzo hayo yalilenga ushiriki wa Tanzania katika COP30 na majadiliano kuhusu taka za Plastiki, yalifanyika katika Ofisi za Wizara hiyo jijini Oslo, nchini…

Read More

Nangu: Kumkaba Pacome, ufanye kazi muda wote

JKT Tanzania imekwama katika mbio za kusaka tiketi ya michuano ya CAF baada ya kufungwa mabao 2-0 na Yanga katika nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA), huku beki Wilson Nangu akisema kumkaba Pacome Zouzoua inahitaji umakini mkubwa. Beki huyo chipukizi ameliambia Mwanaspoti kuwa kiungo mshambuliaji huyo wa Yanga ni mchezaji mwenye kasi na akili…

Read More