Migogoro ya ardhi yatikisa mjadala bajeti ya Ardhi, watendaji wa Serikali watajwa

Unguja. Wakati Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi ikiliomba Baraza la Wawakilishi kuipitishia Sh345.4 bilioni kutekeleza vipaumbele vinane, wajumbe wameitaka Serikali iweke mipango ya kupima ardhi ili kuondosha migogoro, ambayo kwa kiasi kikubwa inasababishwa na watendaji wa Serikali. Pia, wamesema licha ya nia njema ya Serikali, wananchi wanalalamika kutolipwa fidia na wengine kulipwa kiasi…

Read More

WABUNGE WAPONGEZA ONGEZEKO LA IDADI YA WATALII NA MAPATO NCHINI

Na Kassim Nyaki, Dodoma Wabunge wameipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa jitihada kubwa za kutangaza vivutio vya utalii, ambazo zimesaidia kuongeza idadi ya watalii wa kimataifa kutoka 922,692 mwaka 2021 hadi kufikia 2,141,895 mwaka 2024, huku watalii wa ndani wakiongezeka kutoka 788,933 hadi 3,218,352 katika kipindi hicho. Kwa upande wa maduhuli ya Serikali yametajwa…

Read More

Viongozi watatu Chaumma wajiuzulu nafasi zao

Dar es Salaam. Mambo yameanza kuchangamka ndani ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), baada ya viongozi watatu wa kitaifa kujiuzulu nafasi zao, wakitaja sababu ni kukipa chama hicho fursa ya kuwapata viongozi wengine watakaoendeleza gurudumu mbele. Waliotangaza kujiuzulu ni Katibu Mkuu wa chama hicho Mohammed Masoud Rashid, Naibu Katibu Mkuu Bara, Rahman Rungwe na…

Read More