IPTL yakwaa kisiki kesi ya kuidai Serikali mabilioni
Dar es Salaam. Kampuni ya kufua umeme wa mafuta, Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imekwama kwenye kesi iliyotaka kufungua dhidi ya Serikali baada ya Mahakama Kuu kuikataa. Kampuni hiyo ilifungua kesi ya madai dhidi ya Serikali kupitia Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, ikipinga mkataba wa makubaliano ya kumaliza…