CCM Yatamba Kuwachukua Wanachama wa ACT Wazalendo – Global Publishers
Last updated May 19, 2025 Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar kimeendelea kupoteza wanachama na viongozi wake ambao kati yao wametangaza kuhamia CCM huku ikitajwa kuwa wengi wao wapo mbioni kufanya hivyo. Wanachama na viongozi wa kwanza kufanya hivyo ilikuwa katika viwanja vya Mauani Kiwani, Mkoa wa Kusini Pemba wakati wanachama wa ACT Wazalendo 2,439…