Kocha KMC, Mubesh aona mwanga Ligi Kuu
KOCHA wa KMC, Adam Mbwana Mubesh, amesema ameona mwanga tangu aanze kukinoa kikosi hicho, huku akisema kilichobadilika kwa sasa ni mipango tu na anafurahia ushindi alioupata dhidi ya Tabora United. Mei 14, mwaka huu ikiwa ugenini kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora, KMC iliichapa Tabora United bao 1-0 lililotokana na penalti ya dakika…