Upweke unahusishwa na vifo takriban 100 kila saa – zaidi ya vifo 871,000 kila mwaka. Kwa kulinganisha, uhusiano mkubwa wa kijamii unahusishwa na afya bora
Month: June 2025

:::::::: Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Babyilon Mwakyambile ameingia kwenye mbio za ubunge kwa kuomba ridhaa kuteuliwa kugombea Jimbo la Kyela. Mwakyambile ambaye kitaaluma ni

……………….. Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhandisi Daniel Sabuni amechukua fomu ya ya kutoa nia kugombea nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Kigamboni jijini

António Guterres alitoa wito wake wa Clarion akibainisha kuwa maendeleo endelevu yanayoendeshwa na ushirikiano wa kimataifa, sasa inakabiliwa na “vichwa vikuu.” Kushughulikia kikao cha ufunguzi

Geita. Zaidi ya miradi 10 ya afya na maendeleo iliyokuwa ikitekelezwa na mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) mkoani Geita, imeathiriwa, ikiwa ni pamoja na kusimamishwa

Dodoma. Mwaka mpya wa Serikali wa 2025/26 unaanza kesho Jumanne, Julai mosi, 2025 kwa bodaboda na wafanyabiashara kufurahia punguzo la tozo, ada huku wanywaji wa

Arusha. Baada ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), kushinda tuzo ya kivutio bora cha utalii barani Afrika mwaka 2025 iliyotolewa na mtandao wa World

Mtwara. Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia Victor Thomas (39) mkulima na mkazi wa Kitongoji cha Kadudu Kijiji cha Lupaso, wilayani Masasi kwa tuhuma za mauaji

::::::::’ KATIKA Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama sabasaba,kampuni ya Laziz Bakery imeibua mshangao na kuvutia maelfu ya watembeeleaji way maonesho hayo

Arusha. Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM) limemsimika na kumuingiza kazini Mchungaji Jeremia Laizer, kuwa msaidizi wa Askofu Mkuu Dayosisi ya Arusha. Mchungaji Laizer aliyekuwa