
KESI YA LISSU KURUSHWA MUBASHARA ( LIVE)
:::::: Mahakama ya Tanzania imesema Shauri la Jinai Namba 8606/2025 na Namba 8607/2025 kati ya Jamhuri na Tundu Lissu, ambayo yamepangwa kutajwa na kusikilizwa Juni 2, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mwenendo wote utarushwa mubashara (live) na pia Mshtakiwa atafikishwa Mahakamani Taarifa ya Mahakama imeeleza, lengo ni kuwawezesha Wananchi kufuatilia bila kuwa na…