TASAC YATOA ELIMU YA UTUNZAJI MAZINGIRA DODOMA

  Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania TASAC, leo tarehe 02 Juni, 2025 limetoa elimu ya utunzaji wa mazingira majini kwa wadau waliotembelea banda lao jijini Dodoma. TASAC imetoa elimu hiyo kwa wadau na wananchi wa Dodoma katika Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Duniani 2025 yanayofanyika kuanzia tarehe 01 – 05 Juni, 2025 jijini humo. …

Read More

Familia za mbele za Kiukreni zinakabiliwa na kazi ya hatari ya shamba zilizochimbwa – maswala ya ulimwengu

Kulingana na UN, familia nyingi za mbele za Kiukreni ziko katika hatari ya kukosa upandaji muhimu na madirisha ya kuvuna. “Kilimo ni kitambaa cha jamii ya vijijini. Sio njia tu ya kujipatia pesa – ni njia ya kuwa. Na familia zilizo hatarini zinashikilia. Wanahitaji msaada sio tu kuishi, lakini kufanikiwa na kujenga tena,” alisema Rein…

Read More

BALOZI DK.NCHIMBI AMWAKILISHA RAIS SAMIA KUMUAGA HAYATI SONGAMBELE MKOANI RUVUMA

Na Mwandishi Wetu,Songea  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemwakilisha Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika shughuli ya kuaga mwili wa Hayati Alhaj Mustafa Mohamed Songambele iliyofanyika nyumbani kwa marehemu eneo la Mahenge, mjini Songea mkoani Ruvuma. Akizungumza katika shughuli hiyo, Dkt. Nchimbi amemuelezea…

Read More

Wanafunzi Serengeti walilia mabweni | Mwananchi

Serengeti. Baadhi ya wanafunzi wa kike katika shule za sekondari wilayani Serengeti wameiomba Serikali na jamii kuwaondolea vikwazo vinavyosababisha washindwe kutimiza malengo yao hasa ya kielimu, ikiwemo ukosefu wa mabweni katika shule za Serikali. Wanafunzi hao wamesema licha ya Serikali kujitahidi kuboresha mazingira ya elimu bado wamekuwa wakikumbana na changamoto mbalimbali ikiwepo kutembea umbali mrefu…

Read More

Mnyukano wa kisheria kortini | Mwananchi

Dar es Salaam.  Upande wa mashtaka katika kesi ya kuchapisha taarifa za uwongo mitandaoni inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, umewasilisha maombi ya kupewa ulinzi kwa mashahidi wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. Maombi hayo yakikubaliwa, mashahidi hao watatoa ushahidi bila kuonekana hadharani. Hata hivyo, jopo…

Read More

MAKANDARASI WA NDANI CHANGAMKIENI FURSA UTEKELEZAJI WA MRADI WA TACTIC- INJINIA KANYENYE

:::::::: Makandarasi wazawa wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuomba tenda mbalimbali za utekelezaji wa miradi ya uboreshaji miundombinu ya Miji ya Tanzania (TACTIC) ili kuweza kunufaika na fursa hiyo kama sehemu ya kukuza uchumi wa Tanzania na kuimarisha mzunguko wa fedha nchini. Wito huo umetolewa leo Jumatatu Juni 02, 2025 Mjini Singida na Mhandisi Humphrey Kanyenye,…

Read More

CCM Iringa walivyompokea Asas | Mwananchi

Iringa. Mfanyabiashara na kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Salim Faraj Abri (Asas) apokewa rasmi na uongozi wa chama Mkoa wa Iringa kufuatia kuteuliwa kwake kuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa. Asasi amepokewa leo Juni 2, 2025 akitokea Dodoma alikokwenda kuhudhuria mkutano mkuu baada ya kuteuliwa kuwa mjumbe wa kamati…

Read More