
Watumiaji wa petroli, dizeli kicheko Dar
Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za mafuta zitakazoanza kutumika kuanzia leo ambapo mkoa wa Dar es Salaam imeshuka na Mtwara ikipaa zaidi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ewura leo Jumatano Juni 4, 2025 bei hizo zimezingatia mabadiliko ya bei katika soko la dunia,…