
VIJANA WA SEKONDARI WANUFAIKA NA MAFUNZO YA KIJINSIA KUTOKA GRUMETI FUND
SHIRIKA la Grumeti Fund kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii imeendelea kuwa msaada kwa ukuaji kifkra kwa vijana wa kike na kiume Wilayani Serengeti kwa kuwaleta pamoja wanafunzi wa kike zaidi ya 900 na wakiume 810 kutoka katika shule za sekondari Mugumu na Sedeko zilizopo wilayani Serengeti ili kujadili namna bora ya kujenga jamii…