MWENGE WA UHURU KUZINDUA KUWEKA MAWE YA MSINGI MIRADI 11 YA MAJI MKOANI TANGA YENYE THAMANI YA BILIONI 16.7

Na Oscar Assenga, TANGA JUMLA ya Miradi 11 katika Sekta ya Maji yenye thamani ya Sh.Bilioni 16,713,383,870 inatarajiwa kuzinduliwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 mkoani Tanga ambao unatarajiwa kuwasili mkoani hapa kesho na kuzunguka maeneo mbalimbali kwenye mkoa huo. Akizungumza na waandishi wa habari leo Meneja wa Ruwasa Mkoa wa Tanga Mhandisi Upendo…

Read More

MAMLAKA YA HALI YA HEWA DUNIANI KUENDELEA KUUNGA MKONO JITIHADA ZA TANZANIA KUKABILIANA NA MAAFA

Na. MWANDISHI WETU – GENEVA USWIZI Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Duniani (World Meteorological Organization – WMO) Bi. Celeste Saulo ameahidi kushirikiana na Tanzania katika kuimarisha mfumo wa Tahadhari ya mapema (early warning systems) kwa ajili ya kuchukua hatua za haraka kuzuia na kukabiliana na maafa pindi yanapotokea. Ameyasema hayo wakati wa…

Read More

𝑻𝑭𝑺 𝒀𝒂𝒕𝒖𝒏𝒖𝒌𝒊𝒘𝒂 𝑻𝒖𝒛𝒐 𝒚𝒂 𝑲𝒂𝒎𝒑𝒆𝒏𝒊 𝑩𝒐𝒓𝒂 𝒚𝒂 𝑼𝒑𝒂𝒏𝒅𝒂𝒋𝒊 𝑴𝒊𝒕𝒊 𝑵𝒄𝒉𝒊𝒏𝒊

Na Mwandishi Wetu, Dodoma WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umetunukiwa Tuzo ya Kampeni Bora ya Upandaji Miti kwa mwaka 2025, kutokana na mchango wake mkubwa katika kuhamasisha wananchi na taasisi mbalimbali kushiriki upandaji miti, kusambaza miche na kuelimisha umma kuhusu utunzaji wa mazingira. Tuzo hiyo ilitolewa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya…

Read More