
TAASISI YA MTETEZI WA MAMA YAASA UPENDO KWA MAKUNDI YENYE MAHITAJI MAALUM
::::: TAASISI ya Mtetezi wa Mama, imetoa Rai kwa Watanzania kuwa na moyo wa upendo na mshikamano kwa kushiriki katika shughuli zinazolenga kusaidia makundi yenye mahitaji maalumu katika jamii kwa lengo ili kuunga mkono dhamira ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kauli hiyo imetolewa leo Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Neema Karume ikiwa…