Jinsi ya kukuza ukuaji wa uchumi katika majimbo dhaifu na yaliyoathiriwa na migogoro ya Afrika-maswala ya ulimwengu

Mikopo: IMF Picha/Ebunoluwa Akinbo Maoni Na Wenjie Chen – Michele Fornino – Hamza Mighri – anaweza kutengana (Washington DC) Jumatatu, Juni 9, 2025 Huduma ya waandishi wa habari WASHINGTON DC, Jun 9 (IPS)-Zaidi ya nusu ya idadi ya watu wa Kusini mwa Jangwa la Sahara wanaishi katika majimbo dhaifu na yaliyoathiriwa na migogoro (FCS)-uchumi ambao…

Read More

CP. WAKULYAMBA AWAPA SOMO ASKARI WA JU.

…………… Na Sixmund Begashe, Katavi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia masuala ya Uhifadhi, Kamishna wa Polisi (CP) Benedict Wakulyamba, ametoa semina elekezi kwa Maofisa na Askari Wanafunzi wa Kozi ya 11 ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), katika Kituo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Mlele, mkoani Katavi. Katika semina hiyo,…

Read More

Madini ya Uraniam kuanza kuzalisha umeme

*Profesa Msambichaka aweka umuhimu wa umeme wa Nyuklia. Na Chalila Kibuda,Michuzi TV Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) imesema kuwa katika mikakati ya Serikali ya kutafuta vyanzo vya umeme hivyo Tume imeona chanzo kingine cha umeme wa Nyuklia. Akizungumza jijini Dar es Salaam katika warsha iliyoandaliwa imeandaliwa na Tume ya Nguvu ya Atomu Tanzanja…

Read More

BIDHAA ZINAZOINGIA ZIWE ZIMEDHIBITISHWA NA TBS MHAGAMA

 ……… Waziri wa Afya Jenista Joakim Mhagama amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amehakikisha anaweka mazingira rafiki kwa mama mjamzito kwa kuhakikisha anaanzisha dharura ya usafiri (M-MAMA) ili mama mjamzito aweze kufika kwenye kituo kikubwa kwa haraka na kuokoa maisha yake.  Amebainisha hayo leo June 9,2025 katika hafla…

Read More

TARURA YAPATA TUZO USHIRIKISHAJI JAMII KATIKA UJENZI WA BARABARA

…,…………..  Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imetunukiwa tuzo maalum ya ushirikishaji jamii katika ujenzi wa barabara yaani ” People Centered Design Approach”. Ushirikishaji huo ni kuhakikisha usanifu unajumuisha mawazo, mapendekezo na mahitaji maalum kwaajili ya jamii itakayohudumiwa na barabara husika baada ya kujengwa hususani maeneo ya shughuli za kijamii kama shule, masoko…

Read More