‘Afya ya Bahari haiwezi kutengwa na afya ya binadamu, utulivu wa hali ya hewa’ – Katika Mkuu anahimiza hatua za haraka, Ushirikiano wa Mkutano wa Bahari

Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres anaongea na waandishi wa habari katika Mkutano wa Bahari ya 2025 UN huko Nice, Ufaransa. Mikopo: Naureen Hossain na Naureen Hossain (Nzuri, Ufaransa) Jumanne, Juni 10, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Nice, Ufaransa, Jun 10 (IPS) – “Wakati tunapotia sumu baharini, tunajitia sumu,” Katibu Mkuu wa UN, António…

Read More

Maduka 19 ya kuuza mbegu matatani, Morogoro

Morogoro. Taasisi ya kudhibiti ubora wa mbegu nchini (TOSCI) imeweka zuio kwenye maduka 19 ya mbegu baada ya kukutwa yakiuza mbegu za mbogamboga zisizokuwa na  lebo iliyotolewa na taasisi hiyo. Hivyo taasisi hiyo imeelekeza kuwa  maduka hayo yasifunguliwe hadi yatakapokidhi vigezo vya uuzaji wa mbegu hizo.Hatua ya kuweka zuio kwenye maduka hayo imekuja leo Juni…

Read More

Juhudi na jitihada haijawahi kumtupa mtu” DC Mwanziva

Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Mhe. Victoria Mwanziva amewaasa vijana wa Lindi kuweka juhudi na jitihada katika mambo wanayoyafanya ili kupata matokeo tarajiwa. Mhe. Mwanziva ametoa nasaha hiyo, Juni 10, 2025 wakati wa mahafali ya wanafunzi waliohitimu Mafunzo ya Ufundi Stadi Ngazi ya Tatu katika Chuo cha VETA Lindi. Mhe. Mwanziva ambaye alishiriki mahafali hayo…

Read More

Mawakili waainisha dosari wakiomba ‘waliotumwa na afande’ waachiwe huru

Dodoma. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma imeendelea kusikiliza hoja za rufaa kupinga kifungo cha maisha jela walichohukumiwa Clinton Damas, maarufu Nyundo na wenzake, huku upande wa Jamhuri ukiomba kuzijibu Juni 12, 2025. Warufani wanaiomba Mahakama kufuta kesi, hati ya mashitaka na hukumu iliyotolewa dhidi yao wakidai ilikuwa kinyume cha sheria. Waliokata rufaa ni Nyundo aliyekuwa…

Read More

Viongozi wapya CWT wapewa majukumu

Dodoma. Wakati Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kikikamilisha uchaguzi wake kwa ngazi ya Taifa, mambo matatu yanawasubiri viongozi waliochaguliwa ili kupeleka imani kwa wanachama. CWT imekamilisha uchaguzi wao saa 11.45 ya leo alfajili,  Jumatano Juni 10, 2025 uliokuwa na ulinzi mkali kutoka Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa milango ya nje huku ndani ya ukumbi…

Read More

Samia apokea Sh1.028 trilioni za gawio, atoa mbinu kwa mashirika

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ameyataka mashirika na taasisi za Serikali kutoa gawio kulingana na fedha zilizokusanywa na matakwa ya sheria, badala ya kujikamua ilimradi zionekane zimechangia. Vilevile, ameeleza umuhimu wa taasisi hizo kutoa gawio, akisema ndiyo msingi wa nchi kuendesha mambo yake bila kutegemea mikopo, suala ambalo litalifanya nchi ijenge heshima duniani….

Read More

Vodacom yajivunia haya safari ya miaka 25 Tanzania

Dar es Salaam. Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imesema inajivunia ubunifu katika huduma za mawasiliano nchini tangu kuanzishwa kwake miaka 25 iliyopita. Katika safari hiyo ya miaka 25 sasa Vodacom imesema inajivunia ufikiaji wa wananchi katika huduma za miamala zilizoanza mwaka 2008, sambamba na huduma za intaneti ya kasi. Hayo yamebainishwa leo Juni 10,…

Read More

Mikopo kausha damu ilivyowazindua bodaboda Dodoma

Dodoma. Mwenyekiti wa Chama cha Waendesha Bodaboda na Bajaji Mkoa wa Dodoma (Umapido), Chacha Marwa amesimulia jinsi mikopo umiza, kausha damu ilivyosababisha waanzishe Chama cha Kuweka na Kukopoa (Sacoss). Changamoto ya mikopo umiza, komandoo, pasua moyo, kichefuchefu, kausha damu imekuwa ikitajwa kuwa chanzo cha kufilisika, kujiua, kuvunjika kwa ndoa na kupata magonjwa ya akili baada…

Read More