IKIWA leo hii ni tarehe 09 mwezi Juni, wakali wa ubashiri Meridianbet wanaendelea na kutoa promosheni kali na zenye pesa kibao ambao kwasasa ni zamu ya wateja ambao wanatumia mtandao wa Airtel kuweka pesa zao ndani ya Meridianbet.
Je unajua Rollover ni nini?
Rollover ni kiwango cha dau unachopaswa kubashiri kabla ya kutoa ushindi wa bonasi.
Tiketi zako za kubashiri michezo zinapaswa kumalizika siku hiyo hiyo ulipoweka amana yako ya kwanza. Yaani kwamba inabidi ubashiri mechi za siku moja ziishe leo hutakiwa kubashiri mechi za siku mbili au kuendelea.
● Jumla za ODDS kwenye tiketi za michezo zinapaswa kuwa 3.00 au zaidi ili dau lako lihesabiwe kwa Rollover.
Hizo zilikuwa ni sheria za Rollover kwa upande wa michezo yaani endapo utataka kubashiri mechi, lakini kwa upande wa Kasino ni kama ifuatavyo,
● Mchezaji anatakiwa rollover siku hiyohiyo alipoweka amana yake ya kwanza ya kila siku.
Vilevile bonasi ya michezo itatumika tu kwenye tiketi za kubashiri michezo zenye mechi 4, na kila mechi inapaswa kuwa na ODDS 1.5 au zaidi, huku malipo ya juu kabisa ya kila tiketi ya kubashiri michezo yatakuwa ni shilingi 100,000.
Lakini pia Meridianbet inasisitiza kuwa wateja wanatakiwa kutumia bonasi zote za awali za kubashiri michezo ili waweze kupokea bonasi mpya ya kubashiri michezo. Jisajili sasa na Airtel ufurahie ofa hii kabambe hapa.
Cha kuzingatia ni kwamba ofa hii itatumika kwa mtoa huduma mmoja pekee, ikizingatiwa kuwa mchezaji ana watoa huduma wengi waliounganishwa na akaunit ID yake. Tiketi zinazopotea pekee ndizo zinazohesabiwa kwa mzunguko(rollover).