
Vyakula yenye virutubishi lishe kuukabili udumavu Simiyu
Simiyu. Jamii katika Mkoa wa Simiyu imeshauriwa kuondoa mitazamo potofu kuhusu matumizi ya vyakula na mafuta yenye virutubishi vilivyoongezwa, ili kukabiliana na changamoto za lishe duni. Ushauri huo umetolewa kutokana na ongezeko kubwa la watoto wenye udumavu mkoani humo. Pia, wataalamu wa lishe wamesisitiza kuwa matumizi ya vyakula vilivyoimarishwa kwa virutubishi kama vile vitamini na…