Taifa la Atoll la Tuvalu linakabiliwa na shida ya hali ya hewa, kufadhaika na ufadhili wa polepole – maswala ya ulimwengu

Mafuriko ya maji ndani, kuonyesha jinsi asili na watu wako hatarini. Miti haiwezi kukua kwa sababu ya chumvi, bila kuacha kinga. Picha hii inaonya juu ya athari ya mabadiliko ya hali ya hewa kwenye visiwa na atoll. Mikopo: Gitty Keziah Yee/Tuvalu na Cecilia Russell (Nzuri) Alhamisi, Juni 12, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Nice,…

Read More

Mkurugenzi wa Benki ya DCB, Sabasaba Moshingi aongoza wafanyakazi wa benki hiyo kujitolea damu wakiadhimisha Siku ya Wachangia damu Duniani

BENKI ya Biashara ya DCB imesema itaendelea kufanya jitihada tofauti katika kusaidia afya za watanzania wenye uhitaji wa kupata damu kutokana na kukabiliwa na changamoto mbalimbali imeelezwa jijini Dar es Salaam leo. Akizungumza katika zoezi la kujitolea damu kama sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Wachangia Damu Duniani, jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji…

Read More

Ni bajeti ya kimkakati inayomuakisi Mtanzania

Dar es Salaam. Serikali imewasilisha bajeti ya kimkakati kwa mwaka wa fedha 2025/26, ikilenga kuiweka nchi katika nafasi imara ya kisiasa, kiuchumi na kijamii. Katika mkakati huo, imeelekeza vipaumbele vyake kwenye maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, maandalizi ya michuano Mataifa ya Afrika (Afcon) 2027 na utekelezaji wa miradi ya mikubwa ya maendeleo. Bajeti…

Read More

Ina pande mbili kicheko, maumivu

Dar es Salaam. Ni bajeti ya kicheko na maumivu, hivi ndivyo inavyoweza kutafsiriwa kufuatia bajeti ya mwaka wa fedha 2025/2026 kuwa na pande mbili zinazowagusa wananchi. Wapo ambao huenda wakapata nafuu kupitia bajeti hiyo baada ya kuwa na mapendekezo ya kuondolewa kwa kodi na tozo mbalimbali hali itakayosaidia kupunguza gharama na kuleta unafuu. Akiwasilisha bajeti…

Read More

Bajeti ya kimkakati | Mwananchi

Dar es Salaam. Serikali imewasilisha bajeti ya kimkakati kwa mwaka wa fedha 2025/26, ikilenga kuiweka nchi katika nafasi imara ya kisiasa, kiuchumi na kijamii. Katika mkakati huo, imeelekeza vipaumbele vyake kwenye maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, maandalizi ya michuano Mataifa ya Afrika (Afcon) 2027 na utekelezaji wa miradi ya mikubwa ya maendeleo. Bajeti…

Read More

CP. WAKULYAMBA AWATAKA MAOFISA WA NCAA KUWA WAADILIFU.

********* Na Sixmund Begashe,Karatu Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia Uhifadhi, Kamishna wa Polisi (CP) Benedict Wakulyamba, amewavisha vyeo Maofisa 22 na Askari watatu wa Jeshi la Uhifadhi la Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) waliokamilisha mafunzo ya mabadiliko kutoka mfumo wa kiraia kwenda kijeshi. Akizungumza katika hafla iliyofanyika Kituo cha Mafunzo…

Read More

Dizeli, petroli, pombe, shisha zaongezwa kodi Zanzibar

Unguja. Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kwa mwaka wa fedha 2025/26 imependekeza kuongeza viwango vya ushuru katika bidhaa mbalimbali, zikiwamo dizeli, petroli, pombe kali, mvinyo na shisha, hatua inayotarajiwa kuongeza mapato ya Serikali kwa Sh38.27 bilioni. Bajeti hiyo pia imejumuisha ongezeko la mishahara kwa madiwani na masheha, ikiwa ni sehemu ya juhudi…

Read More

Ajali ya ndege yaua 241 India, mmoja anusurika

Ahmedabad.  Mwaka 2025 umeendelea kuwa wa majanga kwa sekta ya usafirishaji wa anga duniani baada ya ndege ya Shirika la Ndege la Air India yenye abiria na wahudumu 242 kuanguka eneo la makazi la Meghani Nagar nchini India. Ndege hiyo aina ya Boeing 787-8 Dreamliner iliyokuwa safarini kutoka Ahmedabad India kuelekea jijini London nchini Uingereza…

Read More

ZFF yaanza uchunguzi vurugu Uhamiaji vs KVZ

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), kupitia Kamati yake ya Mashindano, limetangaza kufuatilia kwa kina tukio linalodaiwa Kikosi maalum cha Ulinzi cha Valantia Zanzibar kuvamia uwanja pamoja na kusababisha vurugu katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA CUP), kati ya Uhamiaji FC dhidi ya KVZ FC, huku ikilaani vikali tukio hilo…

Read More