
M-NEC MWASELELA AKUTANA NA SENETI MKOA WA DAR ES SALAAM NA KUWAPA MAAGIZO MAZITO KUHUSU RAIS SAMIA
:::::: Na Gordon Kalulunga MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kutoka Mkoa wa Mbeya ndugu Ndele Mwaselela, amewahimiza idara ya UVCCM katika vyuo na vyuo vikuu kujibu hoja za wapinzani wanaopotosha taarifa za miradi ya maendeleo katika mitandao ya kijamii. Ameyasema hayo leo Juni 13,2025 Jijini Dar es Salaam alipokuwa mgeni rasmi katika…