Michuano ya Kombe la COSAFA inaingia katika hatua ya nusu fainali leo, ambapo mechi mbili kali zinatarajiwa kuchezwa. Angola itavaana na Madagascar katika mchezo wa kwanza utakaopigwa saa 10:00 jioni, huku mwenyeji wa mashindano haya, Afrika Kusini, atashuka dimbani dhidi ya Comoro saa 1:00 usiku. Hii itakua nafasi adhimu kwa wabashiri waliojisajili na Meridianbet kupiga pesa kwani odds ni kubwa kuelekea michezo hii.
Mashabiki wa soka wanatarajiwa kushuhudia burudani ya hali ya juu kutoka kwa mataifa haya manne yaliyofanikiwa kuvuka hatua za makundi kwa ushindani mkubwa.
Madagascar ilijihakikishia nafasi katika nusu fainali baada ya kuongoza Kundi C kwa alama 4, ikiwashinda Tanzania na kutoka sare na Eswatini. Tanzania ilishika nafasi ya pili kwa alama 3, na Eswatini walimaliza wa mwisho kwa alama 1.
Piga pesa kwenye michuano hii ya COSAFA kwa kubashiri na Meridianbet, Suka jamvi lako hapa lakini pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno na mingine kibao.
Angola iliongoza Kundi B kwa kishindo kwa kujikusanyia alama 7 dhidi ya timu za Namibia, Lesotho na Malawi. Namibia walishika nafasi ya pili kwa alama 5, huku Malawi akishika mkia kwa alama 1.
Kwa upande mwingine, Afrika Kusini ilitawala Kundi A kwa utofauti ya magoli ya kufungana dhidi ya Zimbabwe na Msumbiji baada ya mataifa yote kufungana kwa alama 4, huku Mauritius wakimaliza wa mwisho kwa alama 3.
Comoro walionyesha ubora wao kwa kuongoza Kundi D kwa jumla ya alama 4, wakiwazidi Botswana walioshika nafasi ya pili na alama 2 pamoja na Zambia waliomaliza na alama 1.
Kwa mashabiki wa michezo ya kubashiri, Meridianbet imeweka mazingira mazuri kuelekea michezo hiyo kwa kutoa odds kubwa na machaguo zaidi ya 800 kwa kila mchezo. Mechi ya Angola dhidi ya Madagascar imepewa Odd ya 1.95 kwa Angola na 4.50 kwa Madagascar, huku mchezo wa pili ukiwa na Odd ya 1.75 kwa Afrika Kusini na 5.40 kwa Comoro.
Hii ni fursa adhimu kwa wapenzi wa soka na watumiaji wa Meridianbet kupanga mikeka yao na kujipatia ushindi mkubwa kuelekea fainali ya COSAFA.