𝗦𝗛𝗜𝗡𝗗𝗔𝗡𝗢 𝗟𝗔 𝗦𝗧𝗔𝗗𝗜 𝗭𝗔 𝗨𝗙𝗨𝗡𝗗𝗜𝗦𝗛𝗔𝗝𝗜 𝗞𝗨𝗜𝗠𝗔𝗥𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗨𝗧𝗘𝗞𝗘𝗟𝗘𝗭𝗔𝗝𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗜𝗧𝗔𝗔𝗟𝗔 𝗜𝗟𝗜𝗬𝗢𝗕𝗢𝗥𝗘𝗦𝗛𝗪𝗔 – 𝗗𝗞𝗧. 𝗞𝗢𝗠𝗕𝗔
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Komba, amesema miongoni mwa maboresho yaliyofanyika katika mitaala ya mwaka 2023 ni pamoja na kuchopeka matumizi ya TEHAMA katika ufundishaji na ujifunzaji. Dkt. Komba ameeleza hayo Juni 14, 2025 jijini Dar es Salaam akizungumza katika Hafla ya Utoaji wa Zawadi kwa Washindi wa Shindano la…