Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Day: June 16, 2025

  • Home
  • 2025
  • June
  • 16
Kimataifa

Hatua karibu na haki kwa mwandishi wa habari aliyeuawa Daphne Caruana Galizia – Maswala ya Ulimwenguni

June 16, 2025 Admin

Waandamanaji wanaandamana na Mtaa wa Jamhuri ya Valletta kwenye maadhimisho ya kwanza ya mauaji ya Daphne. Mikopo: Miguela Xuereb/Daphne Caruana Galizia Foundation na Ed Holt

Read More
Habari

Benki ya NBC, Mbogo Ranches Zasaini Makubaliano ya Utoaji Mikopo ya Mbegu Bora ya Mifugo kwa Wafugaji.

June 16, 2025 Admin

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini makubaliano ya ushirikiano na Kampuni ya Mbogo Ranches yanayotoa fursa kwa wafugaji nchini kuweza kunufaika kupitia upatikanaji wa

Read More
Kimataifa

Bima ambayo hulipa kila wakati – maswala ya ulimwengu

June 16, 2025 Admin

Kulima kusonga kifusi huko Hatay Uturuki baada ya tetemeko la ardhi. Mikopo: Çağlar Oskay, Unsplash na Maximilian Malawista (New York) Jumatatu, Juni 16, 2025 Huduma

Read More
Habari

Rais Samia afanya uteuzi, yumo mrithi wa Profesa Janabi

June 16, 2025 Admin

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali ikiwemo Dk Delilah Kimambo kuwa Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH).

Read More
Habari

TCAA inashiriki Wiki ya Utumishi wa Umma kwa Kutoa Elimu Kuhusu Huduma Zake na Fursa za Mafunzo Kupitia Chuo cha CATC

June 16, 2025 Admin

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imeungana na taasisi mbalimbali za umma kushiriki katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika viwanja

Read More
Habari

MIKATABA MINNE YA KUNUNUA DHAHABU NA KUSAFISHWA YASAINIWA

June 16, 2025 Admin

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma SERIKALI Imesaini mikataba minne kwa ajili ya kununua asilimia 20 ya dhahabu inayochimbwa na kusafishwa hapa nchi,ambayo itanunuliwa na Benki

Read More
Habari

Parachichi larejesha tabasamu wanafunzi waliotembea umbali mrefu

June 16, 2025 Admin

Rungwe. Ridhaa ya wanunuzi wa zao la parachichi wilayani Rungwe Mkoa wa Mbeya kukatwa Sh200 kumechangia kuanza ujenzi wa Shule ya Sekondari Avocado katika Kijiji

Read More
Habari

 Sh948.5 bilioni kubadili uwanja wa maonyesho Sabasaba

June 16, 2025 Admin

Dar es Salaam. Zaidi ya Sh948.5 bilioni zinatarajiwa kutumika katika kuubadili Uwanja wa Maonyesho wa Mwalimu Julius Nyerere, maarufu Sabasaba na kuufanya kuwa kitovu cha

Read More
Habari

MKOMI AKAGUA BANDA LA MALIASILI.

June 16, 2025 Admin

……………… Na Sixmund Begashe – Dodoma Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora, Bw. Juma Mkomi, akiwa ameambatana na Kamati ya

Read More
Habari

Televisheni ya Taifa ya Iran yashambuliwa, yatoa kauli

June 16, 2025 Admin

Makombora yaliyorushwa na Israel yamelenga zilipo ofisi za makao makuu ya Televisheni ya Taifa ya Iran (IRIB) yaliyopo jijini Tehran nchini humo. Al Jazeera imeripoti

Read More

Posts pagination

1 2 … 9 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.