DKT. SAMIA AFUNGUA KIWANDA MEATU

:::::::

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Kiwanda cha Kuchakata

Pamba cha Biosustain Tanzania Limited, kilichoko Kata ya Mwamishali, Wilaya ya Meatu, leo Jumanne tarehe 17 Juni 2025, akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi mkoani Simiyu. 

Related Posts