SERIKALI IMESAINI MIKATABA YA KUNUNUA DHAHABU NAKUSAFISHWA

……………

Na Ester Maile Dodoma 

Serikali imesaini mikataba minne kwa ajili ya ununuzi wa dhahabu ambapo asilimia 20 iliyochimbwa na kusafishwa hapa Tanzania  ambayo benki kuu ya Tanzania (BOT)itanunua ili kuhakikisha wanakuza uchumi wa nchi.

Hayo yameelezwa na  waziri wa fedha Dkt Mwigulu Nchemba katika hafla hyo leo 16 june2025 jijini Dodoma ambapo umefanyika utiaji saini mikataba  hiyo ya usafishwaji na ununuzi dhahabu.

 Ambapo makampuni yaliyosaini mikataba hiyo iliyoshuhudiwa na Waziri wa fedha ,waziri wa madini pamoja na Gavana wa benki kuu (BOT) ni Geita Goldmine ,(GGM),Shania Mining,Bakrifu na kiwanda cha usafishaji wa dhahabu.

Hata hivyo Dkt Nchemba amesema mkataba huo uweendelevu kwani itasidia kuongeza fedha za kigeni pamoja na kukuza uchumi wa nchi yetu.

Related Posts