‘Utambuzi wa usoni humtendea kila mtu kama mtuhumiwa anayeweza, kudhoofisha faragha na kuzuka kwa hatia’ – maswala ya ulimwengu

na Civicus Jumatano, Juni 18, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Jun 18 (IPS) – Civicus inajadili hatari za moja kwa moja Teknolojia ya utambuzi wa usoni Na Madeleine Stone, afisa mwandamizi wa utetezi katika Big Brother Watch, shirika la asasi za kiraia ambazo zinafanya kampeni dhidi ya uchunguzi wa watu na kwa haki za…

Read More

JUKWAA LA NNE LA UTEKELEZAJI WA USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA KATIKA SEKTA YA MADINI LILETE MABADILIKO -OLLAL

  MWANZA Wadau wa madini nchini wametakiwa kutumia Jukwaa la Nne la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta la Madini kama kichocheo cha mabadiliko katika Sekta ya Madini hasa kwenye eneo la ushirikishwaji wa watanzania katika Sekta ya Madini  katika eneo la ajira na utoaji wa huduma kwenye migodi ya madini kama vile  usambazaji…

Read More

USHIRIKISHWAJI MADINI KUINUA UCHUMI TAIFA

::::::::: Imeelezwa kuwa ushirikishwaji wa watanzania katika sekta ya Madini nchini itasaidia kuendelea kukuza Uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka wizara ya Madini Augostine Ollal wakati akizungumza kwa niaba ya Naibu katibu Mkuu wiza ya madini katika zoezi la kufunga jukwaa la nne…

Read More

TADB, TWCC KUINUA WANAWAKE NA VIJANA KATIKA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI

BENKI ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imeingia makubaliano na Chama cha Wafanyabiashara Wanawake Tanzania (TWCC) kwa lengo la kuwawezesha wanawake na vijana wajasiriamali wanaoshiriki katika minyororo ya thamani ya kilimo, mifugo na uvuvi nchini. Makubaliano haya ya miaka miwili yamesainiwa tarehe 17 Juni 2025 katika makao makuu ya TADB, yakihusisha viongozi waandamizi kutoka taasisi…

Read More