::::::::
Na Ester Maile Dodoma
Benki ya CRDB ambayo ni mdhamini mkuu wa Grand Bunge Bonanza imetumia milioni miamoja thelethin kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya michezi ya Bonanza.
Ambapo Bonanza hilo litachezwa tarehe 21 June 2025 ambapo michezo kumi na moja itachezwaa kati ya wabunge na taasisi mbalimbali .
Ameyaeleza hayo mwenyekiti wa bonanza la bunge Festo Sanga leo 18 June 2025 kuwa bonanza hilo litahitimisha shughuli za bunge kwa kipindi cha.miaka mitano
Pamoja na kuwa michezo inasaidia kuimalisha mwili lakini inasaidia kujenga Taifa imara na kujenga hamasa kati ya wabunge na taasisi mbalimbali.
Hata hivho sanga ameyoa wito kwa wanahabari ,vyuo mbalimbali na taasisi kushiriki katika bonanzahilo vilevile amezitaka taasisi zingine kuiga mfano wa benki ya CRDB kwa kuandaa mashindano hayo.