Gharama ya uhifadhi -jinsi Tanzania inafuta kitambulisho cha Maasai – maswala ya ulimwengu

Wakazi wa Ngorongoro wanajiandikisha “kwa hiari” kuhamia katika kijiji cha Msomera katika mkoa wa kaskazini wa Tangania. Mikopo: Kizito Makoye/IPS Maoni na Kizito Makoye (Dar es salaam) Alhamisi, Juni 19, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Kuondolewa kwa makumi ya maelfu ya Maasai kutoka Ngorongoro hadi Msomera ni sehemu ya hali ya kutatanisha ya ulimwengu…

Read More

Dawa kuzuia maambukizi VVU sasa rasmi

Dar es Salaam. Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) imeidhinisha sindano ya lenacapavir kwa ajili ya kinga dhidi ya Virusi vya Ukimwi (VVU), hatua ambayo imepongezwa na Shirika la Afya Duniani (WHO). Hatua ya FDA inafuatia matokeo yaliyoonyesha matumaini katika majaribio mawili ya awali (Purpose 1 na 2) yaliyofanyika mwaka 2024.   Majaribio…

Read More

Stanbic Bank Tanzania na Vodacom Tanzania Wasaini Ushirikiano wa Miaka Mitatu Kusaidia Msafara wa Baiskeli za Twende Butiama

 Dar es Salaam, Tanzania – 19 Juni 2025 Stanbic Bank Tanzania na Vodacom Tanzania leo wamesaini Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) ya kihistoria ya miaka mitatu ili kusaidia Twende Butiama Cycling Tour — kampeni ya kitaifa inayochanganya michezo, uendelevu wa mazingira, na maendeleo ya kijamii. Kupitia ushirikiano huu, Stanbic Bank imejitolea kuchangia TZS milioni 300 ndani…

Read More

PAC yashangaa dosari zinazotajwa na CAG kujirudia

Unguja. Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), imeshangazwa na baadhi ya taasisi za umma kuendelea kurudia makosa licha ya kuwepo kwa juhudi za kuyarekebisha. Akizungumza wakati wa kuwasilisha taarifa ya PAC kuhusu ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2022/23 katika mkutano wa 19 wa Baraza la Wawakilishi leo…

Read More