Waandamanaji wa Wanawake walilenga, walidharauliwa kwenye mikutano ya serikali ya kupambana na serikali ya Georgia-maswala ya ulimwengu

Polisi waliandamana katika serikali ya kupambana na serikali nje ya jengo la Bunge huko Tbilisi. Mikopo: Gvantsa Kalandadze na Ed Holt (Bratislava) Ijumaa, Juni 20, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Bratislava, Jun 20 (IPS) – Baada ya kuhudhuria mamia ya maandamano ya serikali katika mji mkuu wa Georgia, Tbilisi, Gvantsa Kalandadze sio mgeni kwa…

Read More

Uwekezaji wa ulimwengu, msimu wa vimbunga huko Haiti, kuongezeka kwa kipindupindu na njaa huko Sudani Kusini – Maswala ya Ulimwenguni

Takwimu zao za hivi karibuni zinaonyesha kuwa mtazamo wa uwekezaji wa kimataifa mwaka huu “ni hasi”, marekebisho ya kozi kali kutoka Januari, wakati ukuaji wa “ukuaji” ulionekana kuwa inawezekana. Sababu za anuwai hii kutoka kwa mvutano wa biashara na ushuru ambao athari kuu imekuwa “ongezeko kubwa la kutokuwa na uhakika wa mwekezaji”, alisema Unctad Katibu…

Read More

NAIBU WAZIRI KITANDULA AIPONGEZA TFS ,ATAKA IONGEZE UBUNIFU BIDHAA ZA NYUKI

Na Mwandishi Wetu, Dodoma NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Danstan Kitandula (Mb), ameipongeza Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa jitihada zake katika kukuza sekta ya nyuki kupitia uzalishaji wa bidhaa mbalimbali zenye viwango vya ubora. Pia ameitaka TFS kuongeza ubunifu zaidi katika vifungashio na taarifa za kitaalamu zitakazomsaidia mlaji kuelewa thamani…

Read More

WATAHINIWA 680 WAFAULU MTIHANI WA PSPTB

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Imeelezwa kwamba vituo saba vya Tanzania Bara vimefanikiwa kuendesha mitihani ya BODI ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) ambapo jumla ya watahiniwa 1,506 walisajiliwa na 1,421 waliratibiwa kufanya mitihani. Taarifa hiyo imetolewa Jijini Dodoma leo na Mkurugenzi Mtendaji wa PSPTB Godfred Mbanyi ambaye amesema kwa ujumla watahiniwa walifaulu mitihani…

Read More

Vikundi zaidi ya 400 havijarejesha mikopo ya asilimia kumi waliyopewa na Halimashauri ya Jiji la Dodoma

Na Mwandishi wetu – Dodoma Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la Dodoma Joseph amesema vikundi 467 vinatafutwa na halmashauri hiyo kwa ajili ya kurejesha mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Serikali kwa vikundi vya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu hapa Nchini. Fungo ameyabainisha hayo leo jijini Dodoma katika semina ya mafunzo yaliyoandaliwa.na Benki ya…

Read More

Profesa Kilangi: Vijana wa Kitanzania ni wavivu wa kutafuta ukweli

Mwanza. Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Profesa Adelardus Kilangi amesema vijana wengi wa Kitanzania wanakosa juhudi za kutafuta ukweli na kuchambua taarifa sahihi, badala yake wamekuwa wakitegemea taarifa zisizo sahihi kutoka vyanzo visivyoaminika. Profesa Kilangi ametoa kauli hiyo leo Juni 20, 2025, wakati akihudhuria maadhimisho ya kumbukumbu ya maisha ya Mtakatifu Agustino, yaliyofanyika katika Chuo…

Read More