WALIMU NCHINI WATAKIWA KUWA WALEZI BORA KWA WANAFUNZI

::::::: Serikali imewataka walimu wote nchini kuendelea kuwa walezi na kuwasaidia wanafunzi kutojihusisha na tabia zenye kuondoa maadili  na utamaduni wa  Kitanzania. Wito huo umetolewa na Naibu Katibu Mkuu – Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof.  Daniel Mushi tarehe 20 Juni 2025 katika chuo cha Ualimu Morogoro wakati akifungua mafunzo maalumu kwa walimu wa…

Read More

KMKM mabingwa wapya Kombe la FA Zanzibar

TIMU ya KMKM imetwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho (FA) baada ya kuichakaza Chipukizi mabao 4-2 katika mchezo wa fainali uliochezwa leo Juni 21, 2025 kwenye Uwanja wa Mao Zedong uliopo Mjini Unguja. Kipigo hicho kimeifanya Chipukizi kutoka kisiwani Pemba kushindwa kutetea taji lake usiku wa leo na kukosa fursa ya kuiwakilisha Zanzibar kimataifa msimu…

Read More

Kasi wazazi kuua watoto yashtua

Dar es Salaam. Matukio ya wazazi kuua watoto wao na wenyewe kujiua yanazidi kushika kasi nchini, yakiripotiwa matano kati ya Januari hadi Juni 2025. Kwa mujibu wa matukio ambayo Mwananchi limeyaripoti, watoto 10 wamefariki dunia pamoja na wazazi wawili, mmoja kwa kujiua na mwingine kuuawa pamoja na mwanaye. Katika matukio hayo yaliyofanywa na wazazi, chanzo…

Read More

Tume ya kujenga amani ya UN ‘inahitajika zaidi kuliko hapo awali’ huku kukiwa na migogoro inayoongezeka – maswala ya ulimwengu

Walishiriki uzoefu wao katika hafla wiki hii katika makao makuu ya UN kuashiria miaka 20 ya Tume ya Kuijenga Amani (PBC). Baraza la Ushauri la Serikali za Serikali linaunga mkono nchi zinazoibuka kutoka kwa migogoro katika maeneo kama utawala, haki, maridhiano, ujenzi wa taasisi na maendeleo endelevu. Maumivu na ahadi “Hadithi ya Liberia ni moja…

Read More