
WAKRISTO WAASWA KUJIHADHARI NA MAFUNDISHO YENYE UPOTOSHAJI
::::::::: Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WAKRISTO nchini wameaswa kuwa waangalifu dhidi ya mafundisho yenye upotoshaji wanapokuwa katika nyumba za ibada, hali inayoweza kusababisha migongano baina yao na hatimaye kuvuruga amani katika jamii. Rai hiyo imetolewa na Askofu Dk. Batolomeo Sheggah, wakati wa ibada ya…