Katika uso wa kupunguzwa kwa fedha, asasi za kiraia zimechukua jukumu kubwa katika majibu ya kibinadamu – maswala ya ulimwengu

na Civicus Jumatatu, Juni 23, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Jun 23 (IPS) – Civicus anajadili kufungwa kwa ofisi ya Wakala wa Wakimbizi wa Umoja wa Mataifa (UNHCR) huko Mexico na wanachama wa Haki za Binadamu katika Action (DHIA), Shirika la Asasi ya Kiraia ya Mexico (CSO) ambayo inakuza na kutetea haki za binadamu…

Read More

Pangua ya Rais Samia yawaacha wakuu wa mikoa watano

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na kuwahamisha watendaji wake, ambapo amewaweka kando wakuu wa mikoa (RC) watano akiwemo Paul Makonda wa Arusha. Mbali na Makonda aliyeachwa, wengine na mikoa yao kwenye mabano ni, Peter Serukamba (Iringa), Thomas Andengenye (Kigoma), Dk Juma Homera (Mbeya) na Daniel Chongolo wa Songwe. Mkeka huo umetolewa…

Read More

TANI 2302.37 ZA BANGI ZAKAMATWA

……….. Na Ester Maile Dodoma  Bangi imeendelea kuwa dawa ya kulevya iliyokamatwa nchini kwa kiwango kikubwa kwa mwaka 2024 ikiwa ni jumla ya tani 2,302.37. Hayo yameelezwa mbele ya waandishi wa Habari jijini Dodoma na  William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu)  “leo June 23,2025 amesema kuwa”kati ya hizo,…

Read More

BALOZI NCHIMBI AWASILI ARUSHA

 :::::: Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokewa na viongozi wa chama na serikali, wakiongozwa na Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndugu Dadi Musa Matoroka (kulia pichani) na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Ndugu Paul Makonda, mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kisongo Arusha. Wengine…

Read More

MAJALIWA AZIPA WIKI TANO TAASISI ZA SERIKALI KUJIUNGA NA MFUMO UNAOWEZESHA SERIKALI KUWASILIANA

……,.,…….. WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za Serikali ambazo hazijajiunga na mfumo wa kielektroni utakaowezesha mifumo ya Serikali kuwasiliana (GovESB) kujiunga na mfumo huo ifikapo Julai 30 mwaka huu ili kuendana na mabadiliko ya teknolojia  katika kurahisisha upatikanaji wa huduma kwa wananchi.   Ametoa maagizo hayo leo Jumatatu (Juni 23, 2025) alipomwakilisha Rais Dkt….

Read More

SERIKALI KUANDAA MIPANGO 2,480 YA MATUMIZI BORA YA ARDHI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 4 ,VIJIJI 4,679 KATI YA VIJIJI 12,333 NCHI NZIMA

 Na Vero Ignatus,Arusha SERIKALI imeandaa jumla ya mipango ya matumizi bora ya ardhi 2,480 katika kipindi cha miaka minne ambapo vijiji 4,679 vimewekwa katika mipango hiyo kati ya vijiji 12,333 nchi nzima.  Hayo yamesemwa leo Juni 23, 2025 Jijini Arusha na Katibu Mkuu  Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi,Mhandisi Anthony Sanga kwa…

Read More

UJENZI KITUO CHA KUPOZA UMEME NKANGAMO-MOMBA KUKAMILIKA MEI 2026

 ::::::: Naibu  Waziri wa Nishati,Judith Kapinga amesema ujenzi wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Nkangamo- Momba  unatarajiwa kukamilika Mei mwakani. Kapinga ameeleza hayo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Momba, Condester Sichalwe (CCM) ambaye aliuliza ni lini Serikali itaanza ujenzi wa Kituo cha kusambaza umeme Nkangamo – Momba.  Kapinga amesema…

Read More