Guterres anahimiza Iran na Israeli ‘kuheshimu kabisa’ mapigano – maswala ya ulimwengu

Kabla ya pande zote mbili kuthibitisha kwamba mapigano yasiyokuwa yamewekwa mapema Jumanne pande zote mbili zilibadilishana moto, na wakaazi wa Tehran wakisema walipata shambulio kubwa la shambulio. Kabla ya kuondoka Washington kwa mkutano wa NATO huko Uropa, Rais Trump alionyesha kufadhaika kwake kwa ukiukaji wa makubaliano dhaifu ya kusitisha mapigano, akihimiza Iran na Israeli kufuata…

Read More

WAZIRI MKUU AVUTIWA NA MAGEUZI MAKUBWA STAMICO

  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe.Kassim Majaliwa Majaliwa amevutiwa na utendaji na mafanikio iliyopata Shirika la Maendeleo la Taifa (STAMICO) kwa kipindi kifupi. Pongezi hizo alizotoa leo tarehe 24 Juni,2025 jijini Dodoma katika hotuba yake wakati wa uzinduzi wa mitambo ya uchorongaji kwa wachimbaji wadogo na vitendea kazi vya STAMICO “Nimpongeze sana…

Read More

MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA

:::::::: Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa maoni yoyote yanayolenga kuhakikisha Tanzania inaendelea kudumisha amani na utulivu, hayajawahi kupuuzwa na hayatapuuzwa. Aidha, Balozi Nchimbi amemwelezea Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa ni kiongozi mwanamke ambaye uongozi…

Read More

Baba azika wanaye akiwa chini ya ulinzi

Hai. Wakati watoto Precious miezi 6 na Glory(4) Evance wakizikwa, baba yao mzazi Evance Kileka ameshiriki mazishi hayo akiwa chini ya ulinzi wa Polisi huku mama yao akiendelea na matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini, KCMC. Watoto hao ambao wanadaiwa kuuawa na mama yao mzazi kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali…

Read More

Zaidi ya Wapalestina 400 waliuawa karibu na vibanda vya misaada ya kibinafsi, Ofisi ya Haki za UN inasema – Maswala ya Ulimwenguni

Arifa hiyo inakuja karibu mwezi mmoja tangu Israeli na US-inayoungwa mkono na Gaza Humanitarian Foundation (GHF) ilipoanza kufanya kazi mnamo Mei 27 katika vibanda vilivyochaguliwa, kupitisha UN na NGO zingine zilizoanzishwa. Sehemu zake za usambazaji wa chakula zimehusishwa mara kwa mara na machafuko na risasi kama Gazans ya kukata tamaa na njaa hukimbilia kuchukua vifaa,…

Read More

Majaliwa ataka taasisi za fedha ziwaamini wachimbaji wadogo

Dodoma. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka taasisi za fedha nchini kuwaamini wachimbaji wadogo kwa kuwapa mikopo ili waondokane na changamoto ya mitaji ambayo walikuwa wanaipata kutokana na kutegemea utabiri wa waganga wa kienyeji katika shughuli zao. Majaliwa ameyasema hayo leo Jumanne, Juni 24, 2025, wakati wa hafla ya uzinduzi wa mitambo ya wachimbaji wadogo na…

Read More

Wananchi wanaoishi ndani ya leseni ya mgodi waandamana wakitaka kujua hatima yao

Geita. Baadhi ya wananchi wa vitongoji vya Katomaini, Magema, Mzingamo na Ikumbayaga, vilivyoko katika Mtaa wa Nyamalembo, Manispaa ya Geita, wameandamana hadi ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita wakitaka kujua lini maeneo yao yatafanyiwa tathmini na kulipwa fidia ili kuruhusu shughuli za uchimbaji madini kuendelea katika maeneo hayo. Akizungumza kwa niaba ya wananchi, Mwenyekiti…

Read More

WATANZANIA MATABAKA YOTE WATAKIWA KUUNGANA KUWA WAHIFADHI ILI KUTUNZA MAZINGIRA

Watanzania maarufu na wasio maarufu waliungana jijini Dar es Salaam Jumanne kusisitiza faida muhimu za mazingira na umuhimu wa juhudi za pamoja za uhifadhi. Tukio hilo lilisisitiza kwamba bila kujali sisi ni nani au tunatoka wapi, sote tunahusiana na mazingira na ni wajibu wetu kuyatunza. Mwimbaji na mtangazaji wa Televisheni Nakaaya Sumari, waimbaji wawili maarufu…

Read More