
June 25, 2025


Biashara ya kiwango kidogo inakuwa beacon ya tumaini kwa wanawake wa Afghanistan-maswala ya ulimwengu
Barabara ya Kabul iliyokuwa na barabara karibu na ngazi isiyo na alama chini ya mgahawa wa wanawake pekee-iliyoko kwenye basement ili kuhakikisha kuwa hakuna wanawake wanaweza kuonekana kutoka nje, kwani wamezuiliwa kufanya kazi au kula hadharani na wanaume. Mikopo: Kujifunza pamoja. Kabul Jumatano, Juni 25, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Mwandishi ni mwandishi wa…

TEKNOLOJIA KUIVUSHA TANZANIA KWENYE UCHUMI WA KISASA
::::: Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Katika juhudi za kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kisasa unaotegemea ubunifu, sayansi na teknolojia, serikali kwa kushirikiana na Benki ya Teknolojia ya Umoja wa Mataifa kwa Nchi Zinazoendelea (LDCs), imezindua rasmi Ripoti ya Tathmini ya Mahitaji ya Teknolojia (TNA). Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam Juni 25,…

WMO inaonya kuwa Asia ina joto mara mbili kwa kiwango cha wastani cha ulimwengu – maswala ya ulimwengu
Muhammed Arshad anashiriki wakati wa kuburudisha na binti yake wa miaka 4, Ayesha, wakati wanagawanyika kwenye mfereji nchini Pakistan, kupata utulivu kutoka kwa joto. Hii inafuatia moto mkubwa wa wiki moja uliotokea nchini Pakistan mnamo Mei 2024. Mkopo: UNICEF/Zaib Khalid na Oritro Karim (Umoja wa Mataifa) Jumatano, Juni 25, 2025 Huduma ya waandishi wa habari…

DSE na TSA Waanzisha Ushirikiano kwa Maendeleo ya Startups na Ubunifu Nchini
Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) limeingia kwenye ushirikiano rasmi na Tanzania Startup Association (TSA) kwa kusaini makubaliano ya ushirikiano (MoU) yenye lengo la kuziwezesha biashara changa (startups) kufikia masoko ya mitaji na kukuza mazingira ya ubunifu nchini. Makubaliano hayo yamesainiwa katika hafla iliyofanyika katika ofisi za DSE jijini Dar es Salaam na…

SERIKALI YAWAREJESHA WATANZANIA 42 KUTOKA NCHINI IRAN NA ISRAEL.
:::::::: Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuwarejesha salama nchini Watanzania 42 kutoka nchini Israel na Iran kufuatia vita vilivyokuwa vikiendelea baina ya mataifa hayo mawili. Akizungumza mara baada ya kuwapokea Watanzania hao kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya…

Mchakato wa Chaumma kumpata mgombea urais nchini kuanza
Dar es Salaam. Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimetangaza kuwa mchakato wa kumpata mgombea wa urais wa Tanzania kupitia chama hicho, pamoja na kupitisha ilani ya uchaguzi, utafanyika baada ya kukamilika kwa mikutano ya awamu ya pili ya Operesheni C4C. Kalenda ya kumpata mgombea huyo, imesogezwa mbele kwa mara ya pili mfululizo kwa sababu…

Siku 15 za moto ziara ya Wasira mikoa ya Ruvuma, Geita, Mwanza
Mwanza. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira anaendelea na ziara yake ya kukagua uhai wa chama ambao amezungumza na viongozi na wanachama katika mikoa mitatu ya Ruvuma, Geita na Mwanza. Wasira alianza ziara yake Juni 10, 2025 mkoani Ruvuma ambapo alitembelea wilaya zote za mkoa huo, kisha akaelekea Geita ambako…

Mjadala Sheria ya Fedha wahitimishwa kwa ahueni maeneo haya
Dodoma. Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Fedha wa Mwaka 2025, Serikali ikifanya marekebisho kwa baadhi ya maeneo yaliyozua mjadala bungeni na miongoni mwa wadau. Miongoni mwa maeneo hayo ni kuhusu ushuru wa bidhaa kwenye huduma za mawasiliano ya kielektroniki na tozo ya dola 44 kwa watalii wanaoingia nchini. Muswada huo umewasilishwa bungeni leo Juni…

Wiki ya hekaheka mchakato majimboni, Rais Samia akielekea kulihutubia Bunge
Dar es Salaam. Ni wiki ya hekaheka katika siasa nchini. Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na matukio makubwa katika medani za siasa yanayotarajiwa kufanyika. Wiki hii, Chama cha Mapinduzi (CCM) kitafungua pazia la uchukuaji na urejeshaji fomu kwa makada wake wanaotaka kuwania nafasi za ubunge, udiwani na uwakilishi. Sambamba na hilo, wiki hii ndiyo ambayo Rais…