Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Manispaa Ya Moshi – Global Publishers



Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi amepokea kibali kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa umma na Utawala Bora kilichotoa idhini ya utekelezaji wa nafasi za Ajira Mpya katika ikama ya mwaka wa fedha 2024/2025 chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili,
2025.

Hivyo anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa kutuma maombi ya kazi katika nafasi zifuatazo.

NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA MOSHI >>> BONYEZA HAPA











Related Posts