JUZUU LENYE SHERIA ZOTE LAKABIDHIWA KWA DKT TULIA

……,….,…

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)  Dkt. Ackson (Mb) amepokea Juzuu za Sheria kutoka kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali  Hamza Johari (Mb), leo tarehe 26 Juni, 2025. Juzuu hizo ni mkusanyiko wa Sheria zote zilizotungwa katika Bunge la 12.

 Spika ameipongeza Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kuendelea kulishauri vyema Bunge wakati wa utekelezaji wa majukumu yake hasa ya Utungaji wa Sheria.

Related Posts