HabariWAZIRI PROF. MKENDA ACHUKUA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA ROMBO Admin3 months ago01 mins 24 WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Rombo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Rombo, Massoud MeliMeli Post navigation Previous: BALOZI MULAMULA ACHUKUA FOMU YA UBUNGE WA VITI MAALUM KUNDI LA VYUO NA VYUO VIKUU KUPITIA UWTNext: SEKRETERIETI YA CCM IKITATHMINI UCHUKUAJI WA FOMU