
Yanga haiachi kitu, yabeba tena FA
DUKE Abuya na Clement Mzize, wamekata kiu ya mashabiki wa Yanga baada ya kufanikisha kutwaa Kombe la Shirikisho (FA) katika mchezo wa fainali uliofanyikwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Nyota hao wawili ndio waliotikisa nyavu za Singida Black Stars katika ushindi wa mabao 2-0 ilioupata Yanga. Abuya alikuwa wa kwanza kufunga bao dakika ya…