MTOTO WA MWASISI WA TANU NA CCM MZEE KAFITI AJITOSA UBUNGE ILEMELA

:::::::

Mtoto wa Mwasisi wa Tanu na Ccm Mzee Kafiti ajitosa Ubunge Ilemela.

Mjumbe wa mkutano mkuu wa Ccm Taifa akiwakilisha wilaya ya Ilemela Kafiti Wiliam Kafiti amechukua fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo la Ilemela mkoani Mwanza

Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu Kafiti amesema amechukua fomu ya kuomba chama chake kimpendekeze kushiriki uchaguzi mkuu 2025 katika jimbo hilo la Ilemala

 

Related Posts