Kila saa, watu 100 hufa kwa sababu zinazohusiana na upweke, ripoti za shirika la afya la UN-maswala ya ulimwengu

Upweke unahusishwa na vifo takriban 100 kila saa – zaidi ya vifo 871,000 kila mwaka. Kwa kulinganisha, uhusiano mkubwa wa kijamii unahusishwa na afya bora na maisha marefu, Shirika la Afya la UN lilisema Jumatatu. WHO Inafafanua uhusiano wa kijamii kama njia ambazo watu wanahusiana na na kuingiliana. Upweke ni hisia ya kutatanisha ambayo inatokea…

Read More

MWAKYAMBILE AJITOSA UBUNGE KYELA

:::::::: Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Babyilon Mwakyambile ameingia kwenye mbio za ubunge kwa kuomba ridhaa kuteuliwa kugombea Jimbo la Kyela. Mwakyambile ambaye kitaaluma ni mthaminiwa ardhi akiwa mhitimu wa Chuo Kikuu cha Ardhi jijini Dar Es Salaam, amesema ameamua kujitokeza kuwania nafasi hiyo ili kutimiza azma yake ya kuwatumikia wananchi kupitia jimbo hilo.  

Read More

ENG SABUNI AUTAKA UBUNGE KIGAMBONI

……………….. Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhandisi Daniel Sabuni amechukua fomu ya ya kutoa nia kugombea nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Kigamboni jijini Dar es salaam katika uchaguzi Mkuu mwaka huu. Mhandisi Sabuni amechukua fomu hiyo na kurejesha katika ofisi za Chama hicho zilizopo Kigamboni. Amesema yeye ni kijana wa Jimbo hilo ambaye…

Read More

Ni wakati wa kufadhili maisha yetu ya baadaye na ‘kozi ya mabadiliko’, Guterres huwaambia viongozi wa ulimwengu huko Sevilla – maswala ya ulimwengu

António Guterres alitoa wito wake wa Clarion akibainisha kuwa maendeleo endelevu yanayoendeshwa na ushirikiano wa kimataifa, sasa inakabiliwa na “vichwa vikuu.” Kushughulikia kikao cha ufunguzi wa 4th Fedha kwa Mkutano wa Maendeleo (FFD4) Katika kuoka moto sevilla, Uhispania – ikiweka rekodi ya joto la juu la Juni – Katibu Mkuu Iliyotambuliwa multilateralism yenyewe pia inahisi…

Read More

Kauli ya Trump yatikisa utendaji NGOs Geita

Geita. Zaidi ya miradi 10 ya afya na maendeleo iliyokuwa ikitekelezwa na mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) mkoani Geita, imeathiriwa, ikiwa ni pamoja na kusimamishwa kwa huduma muhimu ya programu ya PERFAR ya kinga dhidi ya Virusi vya Ukimwi (VVU). Hii ni baada ya kusitishwa kwa ufadhili kutoka kwa wafadhili wa kimataifa. Akisoma taarifa ya…

Read More

Kesho kicheko, maumivu | Mwananchi

Dodoma.  Mwaka mpya wa Serikali wa 2025/26 unaanza kesho Jumanne, Julai mosi, 2025 kwa bodaboda na wafanyabiashara kufurahia punguzo la tozo, ada huku wanywaji wa vilevi, wachezaji wa michezo ya kubashiri wakianza kuonja joto la kupanda kwa ushuru. Juni 24, 2025, Bunge lilipitisha bajeti ya Sh56.49 trilioni katika mwaka 2025/26. Bajeti hiyo inayoanza kutekelezwa kesho,…

Read More

Baada ya ushindi, Ngorongoro kuboresha miundombinu

Arusha. Baada ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), kushinda tuzo ya kivutio bora cha utalii barani Afrika mwaka 2025 iliyotolewa na mtandao wa World Travels Awards (WTA), Mamlaka hiyo imeandaa mkakati wa kuboresha miundombinu yake ikiwemo ya barabara ivutie watalii zaidi na kuongeza bidhaa mpya za utalii. Hayo yamesemwa leo Jumatatu Juni 30, 2025…

Read More

Mchungaji TAG auawa Mtwara, Polisi yasema…

Mtwara. Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia Victor Thomas (39) mkulima na mkazi wa Kitongoji cha Kadudu Kijiji cha Lupaso, wilayani Masasi kwa tuhuma za mauaji ya Thomas Nkasimongwa (58), Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG). Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Issa Suleiman iliyotolewa leo Jumatatu, Juni 30, 2025 imeeleza…

Read More

KEKI KUBWA ZAIDI AFRIKA MASHARIKI YATINGISHA SABASABA – LAZIZ BAKERY YAONYESHA MAFANIKIO YA SERIKALI KWA UBUNIFU WA KIPEKEE

::::::::’ KATIKA Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama sabasaba,kampuni ya Laziz Bakery imeibua mshangao na kuvutia maelfu ya watembeeleaji way maonesho hayo baada ya kutengeneza keki kubwa yenye uzito wa tani 3 sawa na kilo elfu 3, ikiwa ni keki kubwa zaidi kuwahi kutengenezwa Afrika Mashariki. Keki hiyo si tu ya kipekee…

Read More

Askofu Laizer asimikwa kuwa msaidizi wa Askofu KKAM

Arusha. Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM) limemsimika na kumuingiza kazini Mchungaji Jeremia Laizer, kuwa msaidizi wa Askofu Mkuu Dayosisi ya Arusha. Mchungaji Laizer aliyekuwa Mkuu wa Jimbo la Magharibi amesimikwa leo Juni 30, 2025 katika Kanisa la KKAM Dayosisi ya Arusha Jimbo la Magharibi katika Parokia ya Mto wa Mbu. Akimsimika Mchungaji Laizer, Askofu…

Read More