Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akiwa katika picha ya pamoja na na
Viongozi mbalimbali kabla ya kuanza kwa
Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Ufadhili wa Maendeleo (FfD4) unaofanyika
katika Ukumbi wa Mikutano wa Fibes Jijini Sevilla nchini Hispania. Tarehe 30
Juni 2025.
